Pastory Kimaryo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 967
- 668
Habarini za jioni wana JF,
Nina shida moja kwenye app ya Twitter, nikitazama video halafu ikiisha nikirudi nyuma kuendelea na mambo mengine ile sauti ya video inaendelea kuplay, na hata nikitoka kabisa nje hadi homescreen inaendelea kuplay, inakata pale tu niki-clear kwenye recent activity. Naomben msaada nini cha kufanya ili hii shida iishe.
Natanguliza shukrani