naombeni msaada mnitajie shule zuri za A level na O level jijini Mwanza

SOKON 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2010
Posts
1,134
Reaction score
331
mwenye kujua shule zenye kufundisha vizuri katika jiji la Mwanza kwa O level na A level sababu mi si mwenyeji wa mwanza so anayejua naomba aniambie kwa kunitajia shule izo za secondary.
 
taqwa,lake,thaqafa,loreto,..mwanza sec,nyegezi,islamia au mpeleke pasiansi
 
Back
Top Bottom