Naombeni msaada mwanaume maziwa kuongezeka kuwa makubwa.

Naombeni msaada mwanaume maziwa kuongezeka kuwa makubwa.

Ushauri mzuri.

Akiingia internet kuna videos zinazo onyesha mazoezi tofauti ya kuburn fat kifuani. Ila kama tatizo lake ni kubwa hamna namna ni operation ya kukwangua excess fat.

Utatobolewa tundu dogo tu, halafu Dr. anakuwa kama anapiga msasa na kachuma karefu kuondoa mafuta. Lisaa limoja linatosha kufanya hiyo kazi.
Ndio mkuu afanye hvyo

Sent from my PTM-Z-mini using JamiiForums mobile app
 
Kweli ni muhimu afanye mazoezi akipuuzia ataota na papuch
 
Ushauri mzuri.

Akiingia internet kuna videos zinazo onyesha mazoezi tofauti ya kuburn fat kifuani. Ila kama tatizo lake ni kubwa hamna namna ni operation ya kukwangua excess fat.

Utatobolewa tundu dogo tu, halafu Dr. anakuwa kama anapiga msasa na kachuma karefu kuondoa mafuta. Lisaa limoja linatosha kufanya hiyo kazi.
asante kwa ushauri mkuu .... hispitali gani hapa Tanzania naweza kupata hayo matibabu?
 
Naona BMI iko normal kabisa i mean 18.7 so ni bora ukawaona wataalam wa afya
 
asante kwa ushauri mkuu .... hispitali gani hapa Tanzania naweza kupata hayo matibabu?

Shirika la Kijerumani la Interplast ndilo huwa linafanya operations tofauti pale Bombo hospital. Japo ni mara moja kwa mwaka kama sijakosea. Sifahamu ratiba zao.

Dr. Wallace Karata ndiye mratibu wa hilo zoezi pale Tanga hospitali ila number yake sina.

Lakini naelewa hospitali za rufaa zina madaktari bingwa wa upasuaji.

Jaribu kwenda hospital ya mkoa, halafu wao watakupa rufaa.
 
Back
Top Bottom