Ndio mkuu afanye hvyoUshauri mzuri.
Akiingia internet kuna videos zinazo onyesha mazoezi tofauti ya kuburn fat kifuani. Ila kama tatizo lake ni kubwa hamna namna ni operation ya kukwangua excess fat.
Utatobolewa tundu dogo tu, halafu Dr. anakuwa kama anapiga msasa na kachuma karefu kuondoa mafuta. Lisaa limoja linatosha kufanya hiyo kazi.
asante kwa ushauri mkuu .... hispitali gani hapa Tanzania naweza kupata hayo matibabu?Ushauri mzuri.
Akiingia internet kuna videos zinazo onyesha mazoezi tofauti ya kuburn fat kifuani. Ila kama tatizo lake ni kubwa hamna namna ni operation ya kukwangua excess fat.
Utatobolewa tundu dogo tu, halafu Dr. anakuwa kama anapiga msasa na kachuma karefu kuondoa mafuta. Lisaa limoja linatosha kufanya hiyo kazi.
asante kwa ushauri mkuu .... hispitali gani hapa Tanzania naweza kupata hayo matibabu?