Hawa ni wale watu wa kuduwaa a.k.a pause syndrome yaan mtu unakuta anakaa mda mrefu ameduwaa anakuwa na variety of thought ambazo hazina sequence nzuri thus y hata yeye mwenyewe ukijaribu kumuadress unakuta haelewi which is which.
Aina ya watu Kama Hawa ni rahisi sana kupata chronic subnormality na baadae mtu anaweza kuwa mwendawazimu.
Njia nyepesi ya kupunguza tatizo lako, cha Kwanza andaa ratiba yako ambayo itaanza na mazoezi yasiyopungua nusu saa(Kama hauna hypertension unaweza kupata kahawa ilibuchangamshe akili baada ya mazoezi) usijipe muda mwingi wa kupumzika akili yako ni ya kulala lala.
Cha pili inabidi uwe na ratiba ya kupambana, fanya kazi usichague kazi, jichanganye na watu(siyo makundi mabaya) sana sana vijana ambao ratiba zao zinabase kwenye kupambana, jaribu kuuliza Kama Kuna kazi unaweza kuifanya Kama part time upate Mia mbili mia tatu Mambo yaende.
Si vibaya kuwa na malengo lakini usiwe ambitious sana, life is all abt process, umesoma,umemaliza unasubiri ajira, siyo mpaka ufanye kazi yenye hadhi ndo ufanikiwe, kazi ni kazi ili mradi iwe halali na inayoingiza kipato and one-day yes itakuwa Kama ulivyopanga, uwe na plan ya kupata pesa kila siku nakuhakikishia ukifata haya utapata nafuu ya ugonjwa unaokusumbua.
Anza na haya.