Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
- Thread starter
-
- #21
Asante sanaKila baada ya lisaa1 fanya zoezi hili.
Vuta pumzi X11 kujaza kifua kisha ishikilie pumzi walau sekunde35,45 toa yote nj'e.
Utaondosha tatizo hilo kabisa.
M yangaKuna mwamba hapo juu kasema acha kuishabikia Simba SC huenda ukapona tatizo lako la kushtuka shtuka
Umepatwa na tukio gani lakustua karibuni?Habari za muda huu wakuu, hili imeanza muda lakn sasa hivi imeshika kasi, yani ipo hivi naweza kuwa nimelala au nimekaa au nafanya mishe yeyote lakini ghafla nikapata mshtuko hadi watu wa karibu wanauliza nashtuka nini.
Mimi mwenyewe nashangaa kwanini nimeshtuka na hakuna hali yoyote ya hatari na wala sioti ndoto mbaya. Msaada wajuzi tatizo linaweza kusabisha na nini?
Washika makali oneni shida kwa vijana wetu wa taifa letu .Mkiweza kuona na vijana wataishiwa na ndoto mbaya za kutisha.Nawaza kupata ajra t nashukuru chuo nmemalza salama
Sjapatwa na jambo lolote, ndo maana m mwnyw nashangaa kwakwelUmepatwa na tukio gani lakustua karibuni?
Watuone kwakwelWashika makali oneni shida kwa vijana wetu wa taifa letu .Mkiweza kuona na vijana wataishiwa na ndoto mbaya za kutisha.
Dah hapana mzee, kujamba najamba kawaida kama unavojamba wewe na watu wote wengne kama kawaidaHuo mshtuko huwa unaambatana na kujamba?
Ahahahahah daaahUnaangalia vitu gani mchana
Safi sana mkuu...Hawa ni wale watu wa kuduwaa a.k.a pause syndrome yaan mtu unakuta anakaa mda mrefu ameduwaa anakuwa na variety of thought ambazo hazina sequence nzuri thus y hata yeye mwenyewe ukijaribu kumuadress unakuta haelewi which is which.
Aina ya watu Kama Hawa ni rahisi sana kupata chronic subnormality na baadae mtu anaweza kuwa mwendawazimu.
Njia nyepesi ya kupunguza tatizo lako, cha Kwanza andaa ratiba yako ambayo itaanza na mazoezi yasiyopungua nusu saa(Kama hauna hypertension unaweza kupata kahawa ilibuchangamshe akili baada ya mazoezi) usijipe muda mwingi wa kupumzika akili yako ni ya kulala lala.
Cha pili inabidi uwe na ratiba ya kupambana, fanya kazi usichague kazi, jichanganye na watu(siyo makundi mabaya) sana sana vijana ambao ratiba zao zinabase kwenye kupambana, jaribu kuuliza Kama Kuna kazi unaweza kuifanya Kama part time upate Mia mbili mia tatu Mambo yaende.
Si vibaya kuwa na malengo lakini usiwe ambitious sana, life is all abt process, umesoma,umemaliza unasubiri ajira, siyo mpaka ufanye kazi yenye hadhi ndo ufanikiwe, kazi ni kazi ili mradi iwe halali na inayoingiza kipato and one-day yes itakuwa Kama ulivyopanga, uwe na plan ya kupata pesa kila siku nakuhakikishia ukifata haya utapata nafuu ya ugonjwa unaokusumbua.
Anza na haya.
Watu wapo makini wewe unaleta hoja nyepesi asee. πππKula Kwa kiasi,pata muda mzuri wa kupumzika sehemu nzuri..acha kusinzia Kwenye mabench na daladala
Vipi wanaoamua kwenda kwa ze bulldozer?Weka music fungua sauti kubwa sana utakaa fresh maana mapepo hayapatani na makelele
Mkuu pole sana. I had the same problem miaka ya 2008 hivi. Muda mwingine umelala unashangaa umestuka tu. Involuntary action.Habari za muda huu wakuu, hili imeanza muda lakn sasa hivi imeshika kasi, yani ipo hivi naweza kuwa nimelala au nimekaa au nafanya mishe yeyote lakini ghafla nikapata mshtuko hadi watu wa karibu wanauliza nashtuka nini.
Mimi mwenyewe nashangaa kwanini nimeshtuka na hakuna hali yoyote ya hatari na wala sioti ndoto mbaya. Msaada wajuzi tatizo linaweza kusabisha na nini?
Njia ni nyingi za kuifanya akili ibalanceVipi wanaoamua kwenda kwa ze bulldozer?
Kwa ze bulldozer nq kwingine sio kwenda kuibalance ila kuiozesha.Njia ni nyingi za kuifanya akili ibalance