Namm nmekua usiku usokua na usingizi kwa muda sasa sababu yako.....utanisaidiajeKunywa mlonge/au uwatu ni mzuri sana kwa wenye tatizo kama lako
Kunywa hvyo nlovyoandika hapoNamm nmekua usiku usokua na usingizi kwa muda sasa sababu yako.....utanisaidiaje
Nmeshakunywa lkn bado siachi kukufikiriaKunywa hvyo nlovyoandika hapo
Barabara huwa unavuka mwenyewe?Mzungu bana hapa ndio alitupiga Bao, utakuta akiingia kitandani kwa pembeni anavuta "Novel" Au "Journal" Ana soma.. Lengo ni nini? Kuutafuta usingizi... Una weza kudhani wana penda kusoma vitabu kumbe hamna lolote....
[emoji3][emoji3]Nmeshakunywa lkn bado siachi kukufikiria
Mi usingizi wangu kuanzia saa sita daah! Naangusha gari ofisini
Majanga!
Naiweka nowKapicha ukiwa umeangusha gari kwa ofisi katapendeza.
[emoji19][emoji1][emoji3][emoji3]