TRIPLE H
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 651
- 349
Wakuu,
Tatizo langu ndo hilo kwamba usiku kucha sipati kabisa usingizi, lakini kukishapambazuka ndio nahisi kulala. Sana mida kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi jioni saa 12 nakuwa na usingizi wa ajabu kiasi kwamba popote niwapo napitiwa kabisa najikuta nakoroma. Tatizo ni nini? Nina kama miezi minne sasa nikiwa kwenye hali hii.
Naombeni ushauri na msaada wenu wakuu.
Ahsanteni.