Naombeni msaada ndugu zangu wa J.F

Naombeni msaada ndugu zangu wa J.F

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] anasema ukweli wake jmn msilazimishe buana!!

sawa nimemuelewa..... haina shida nitajitahidi kumtafutia tiba ili awe na kiu ya kunywa maziwa na akikosa ya ngombe atamani hata ya sungura au nyati.......
 
sawa nimemuelewa..... haina shida nitajitahidi kumtafutia tiba ili awe na kiu ya kunywa maziwa na akikosa ya ngombe atamani hata ya sungura au nyati.......
[emoji2] [emoji2] [emoji2] utakuwa umemsaidia sana coz anapitwa na vitu vitamu!!ila pale kwny via mkuu umezingua[emoji23] [emoji23]
 
Jaribu kutumia Mayai Mabichi...
Ukiyazoe tu.....rejea kwenye Maziwa..
 
Nimekudharu na kukukebei kabisa kwani hujui kama unaweza kutumia tui la nazi kama mbadala wa maziwa
 
Back
Top Bottom