[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] anasema ukweli wake jmn msilazimishe buana!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] utakuwa umemsaidia sana coz anapitwa na vitu vitamu!!ila pale kwny via mkuu umezingua[emoji23] [emoji23]sawa nimemuelewa..... haina shida nitajitahidi kumtafutia tiba ili awe na kiu ya kunywa maziwa na akikosa ya ngombe atamani hata ya sungura au nyati.......