Yaledi julius
Member
- Apr 11, 2013
- 39
- 6
Poleni na ujenzi wa taifa ndungu zangu.mimi ni muhitimu form 4 mwaka jana, matokeo yangu nimepata division 4 ya point 30.Phys D,Bios D,Chemis D,Geog D, Kiswa D.kwa matoke haya naweza kupata chuo cha afya serikarini au chuo chocho tofauti na hicho ambacho mimi sikifahamu, nitashukuru sana ndungu zangu kwa ushauri wenu kazi njema.