Naombeni msaada., nikitabu gani cha sheria kizuri kukisoma na nitakipata wapi

ksix mbetela

Member
Joined
Apr 5, 2017
Posts
10
Reaction score
1
Naombeni msaada, nikitabu gani cha sheria kizuri kukisoma na ntakipata wapi. Ahsante
 
Acts unataka uzisome kama tamthiliya ya mfalme Juha au stori ya Zena na Betina?
 
Nataka nizijue haki zangu 1.kama mwananchi 2.katika kazi yangu kwani mi mwajiliwa wa serikali ahsante
 
Nataka nizijue haki zangu 1.kama mwananchi 2.katika kazi yangu kwani mi mwajiliwa wa serikali ahsante
Soma standing orders kama in mwajiriwa. Kila kitu kimo humor ziko kwa kila ofisi hadi kwa Mwl Mkuu.
Kuhusu haki zako, haki ziko nyingi na almost kila moja INA vitabu vyake. MF, land law , jinai, madai n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…