ksix mbetela
Member
- Apr 5, 2017
- 10
- 1
Naombeni msaada, nikitabu gani cha sheria kizuri kukisoma na ntakipata wapi. Ahsante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria ni pana sana, labda ni jambo gani wataka kulifahamu, ni jinai au madai? nitakusaidia...Naombeni msaada, nikitabu gani cha sheria kizuri kukisoma na ntakipata wapi. Ahsante
Soma standing orders kama in mwajiriwa. Kila kitu kimo humor ziko kwa kila ofisi hadi kwa Mwl Mkuu.Nataka nizijue haki zangu 1.kama mwananchi 2.katika kazi yangu kwani mi mwajiliwa wa serikali ahsante