Wadau katika kilimo nimeamua kujiwekeza katika kilimo cha papai nilinunua mbegu za pakiti na za kisasa miche niliiweka shambani tarehe 20/12/2019 sasa yamefikia hapa nimeweka mbolea mara 2 tu APK.
Sasa naomba wazoefu mnipatie ushauri na maelekezo kitu gani nifanye ili nifanikiwe.
Prune hayo machipukizi ya pembeni pia uwe unapuliza dawa ya wadudu na ukungu walau mara mbili kwa mwezi papai hupendwa sana na wadudu waitwa millbug wakivamia hao jua huna mpapai tena
BTW hongera kwa kazi nzuri.