Naombeni msaada: Papai zangu zimefikia hapa

Naombeni msaada: Papai zangu zimefikia hapa

cetterhutter

Senior Member
Joined
Sep 5, 2017
Posts
167
Reaction score
75
Kwanza pole na majukumu ya siku nzima!

Wadau katika kilimo nimeamua kujiwekeza katika kilimo cha papai nilinunua mbegu za pakiti na za kisasa miche niliiweka shambani tarehe 20/12/2019 sasa yamefikia hapa nimeweka mbolea mara 2 tu APK.

Sasa naomba wazoefu mnipatie ushauri na maelekezo kitu gani nifanye ili nifanikiwe.

IMG_20200226_084612_9.jpeg
IMG_20200226_084553_9.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu APK ndio mbolea gani hiyo.

Prune hayo machipukizi ya pembeni pia uwe unapuliza dawa ya wadudu na ukungu walau mara mbili kwa mwezi papai hupendwa sana na wadudu waitwa millbug wakivamia hao jua huna mpapai tena
BTW hongera kwa kazi nzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom