Naombeni msaada ramani nzuri ya kisasa chumba sebule jiko choo

Tafuta fundi maeneo uliyopo itakuwa rahisi zaidi,maana mafundi wanawajuwa wachora ramani za nyumba na majengo.
 
Wakuu jamii forum kisima Cha maarifa nataka nianze ujenzi nisaidieni ramani nzuri ya kisasa chumba sebule jiko choo ndani nitashukuru sana wakuu na ikipendeza kama mafundi mpo mpate na kazi kupitia huu Uzi
Hiden Roof...... Master bedroom,sebule,dinning,choo cha public na jiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…