K king ugo Member Joined Dec 19, 2013 Posts 5 Reaction score 0 Aug 26, 2014 #1 Mm ni kijana wa miaka 20.ndug zang yani kunakitu kama nyam au pip kina nikaba shingoni afu kina vuta apa kwenye chembe
Mm ni kijana wa miaka 20.ndug zang yani kunakitu kama nyam au pip kina nikaba shingoni afu kina vuta apa kwenye chembe
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,917 Aug 26, 2014 #2 Pole sana Cc MziziMkavu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Aug 26, 2014 #3 king ugo said: Mm ni kijana wa miaka 20.ndug zang yani kunakitu kama nyam au pip kina nikaba shingoni afu kina vuta apa kwenye chembe Click to expand... Pole sana kijana ungelikwenda hospitali wakupime ili tupate kujuwa una maradhi gani hapo kwenye shingo yako itakuwa jambo jema ukienda hospitali kumuona Daktari kwanza. Kisha njoo hapa utupe feedback.
king ugo said: Mm ni kijana wa miaka 20.ndug zang yani kunakitu kama nyam au pip kina nikaba shingoni afu kina vuta apa kwenye chembe Click to expand... Pole sana kijana ungelikwenda hospitali wakupime ili tupate kujuwa una maradhi gani hapo kwenye shingo yako itakuwa jambo jema ukienda hospitali kumuona Daktari kwanza. Kisha njoo hapa utupe feedback.