Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana kijana ungelikwenda hospitali wakupime ili tupate kujuwa una maradhi gani hapo kwenye shingo yako itakuwa jambo jema ukienda hospitali kumuona Daktari kwanza. Kisha njoo hapa utupe feedback.Mm ni kijana wa miaka 20.ndug zang yani kunakitu kama nyam au pip kina nikaba shingoni afu kina vuta apa kwenye chembe