Pelham 1 JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 548 Reaction score 99 Jan 12, 2014 #1 Habari wadau mlio jukwaani!! Naombeni msaada wenu kujua: 1. Aina ya sabuni zilizopo sokoni(miche,maji na dawa) 2. Sabuni zenye majina makubwa 3. Sabuni zilizo na kiwango cha TBS na BAR CODE?
Habari wadau mlio jukwaani!! Naombeni msaada wenu kujua: 1. Aina ya sabuni zilizopo sokoni(miche,maji na dawa) 2. Sabuni zenye majina makubwa 3. Sabuni zilizo na kiwango cha TBS na BAR CODE?