Naombeni Msaada Tafadhali

Naombeni Msaada Tafadhali

Pelham 1

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
548
Reaction score
99
Habari wadau mlio jukwaani!!
Naombeni msaada wenu kujua:
1. Aina ya sabuni zilizopo sokoni(miche,maji na dawa)
2. Sabuni zenye majina makubwa
3. Sabuni zilizo na kiwango cha TBS na BAR CODE?
 
Back
Top Bottom