Cactus_assa Member Joined May 26, 2021 Posts 58 Reaction score 100 Sep 22, 2022 #1 Za mida wakuu nina ishu inanitatizaa hapa et ikitokea umejichoma n kitu chenye kutu ukiacha tetenasi kuna uwezekano ugonjwa wa UKIMWI pia ukaambukizwa kwa njia io? Swali ni kwamba can rusted metal spread HIV?
Za mida wakuu nina ishu inanitatizaa hapa et ikitokea umejichoma n kitu chenye kutu ukiacha tetenasi kuna uwezekano ugonjwa wa UKIMWI pia ukaambukizwa kwa njia io? Swali ni kwamba can rusted metal spread HIV?