Huo ugonjwa umefika stage ya ngapi?
Mpe Pole Mzee wako mimi Dawa ya kumtibu mzee wako maradhi ya figo ninayo na akitumia dawa yangu atapona ukihitaji nitafute kwa kubonyeza hapa.MawasilianoMzee wangu ana miaka 52. Tangu 2007 amekuwa akisumbuliwa na FIGO ameenda kutibiwa hadi Seliani. tatizo hii bado lipo; dalili zinazo onekana ni kushindwa kula, kushindwa kutembea, maumivu makali ya pande za tumbo, mkojo mchafu wenye rangi tofautitofauti, siku anaumwa hucheua sana.
Natanguliza shukrani
NB: Hanywi pombe ila anavuta sigara
Mzee wangu ana miaka 52. Tangu 2007 amekuwa akisumbuliwa na FIGO ameenda kutibiwa hadi Seliani. tatizo hii bado lipo; dalili zinazo onekana ni kushindwa kula, kushindwa kutembea, maumivu makali ya pande za tumbo, mkojo mchafu wenye rangi tofautitofauti, siku anaumwa hucheua sana.
Natanguliza shukrani
NB: Hanywi pombe ila anavuta sigara
Nimesha wasiadia Watu wengi humu Bure bila ya malipo lakini binadamu hawaleti Feedback imefika wakati na mimi sasa nimechoka kuwasaidia watu bure. Mkuu HAZOLEmzizi solve that from your heart
Huo mkojo ni vizuri ukaspecify wa rangi gani...maana rangi fulani ya mkojo huelezea tatizo fulani..kwa mfano mkojo rangi ya chai unaindicate tatizo tunaliita kitaalam acaptonuria ni tatizo la kibiokemia zaid linalohusu metabolism ya amino acids, mkojo mzito wenye rangi inayotaka kufanana na maji ya mchele huindicate chyluria, kwa hiyo mkuu ili tukusaidie inabidi uspecify vizuri hizo dalili maana kunamatatizo mengi na kila tatizo uja na dalili zake specific...huwezisema mkojo wa rangi mbalimbali, inabidi utaje hiyo rangi japo kwa kufananisha kama haunauhakika....funguka vizuri tukusaidie madaktari tupo