Mzee wangu ana miaka 52. Tangu 2007 amekuwa akisumbuliwa na FIGO ameenda kutibiwa hadi Seliani. tatizo hii bado lipo; dalili zinazo onekana ni kushindwa kula, kushindwa kutembea, maumivu makali ya pande za tumbo, mkojo mchafu wenye rangi tofautitofauti, siku anaumwa hucheua sana.
Natanguliza shukrani
NB: Hanywi pombe ila anavuta sigara
Natanguliza shukrani
NB: Hanywi pombe ila anavuta sigara