Naombeni msaada wa aina ya vinywaji vinavyopendwa vijijini kwenu.

TEMBO WANGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
930
Reaction score
1,290
Habari wakuu naomba msaada wenu, kila mtu naomba anitajie aina ya kinywaji na marigafi inayotumika kutengenezea hicho kinywaji, kwenye mkoa husika au kwenye kabila husika. Mfano kinywaji cha togwa- pwani n.k. Asanteni
 
Maji - Hakuna malighafi yoyote inayohitajika kutengeneza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…