TEMBO WANGU
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 930
- 1,290
Habari wakuu naomba msaada wenu, kila mtu naomba anitajie aina ya kinywaji na marigafi inayotumika kutengenezea hicho kinywaji, kwenye mkoa husika au kwenye kabila husika. Mfano kinywaji cha togwa- pwani n.k. Asanteni