Naombeni msaada wa bank statement

Jeff

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2009
Posts
1,293
Reaction score
200
Wana jukwaa wenzangu wa JF, habarini za leo!

Kama ambavyo tunajua nchi yetu ilivyokuwa ngumu, nimepigana kutafuta fursa za kimaisha na sasa niko katika mchakato wa kuomba chuo nje ya nchi. nimekwama kwenye bank statement wana JF naomba mnisaidie kwa yeyote mwenye kuweza na ana moyo wa kunisaidia please!

0762-323935
 
fafanua bank statement imefanyeje wamekwambaje?
 
mkuu inahitajika kama dhamana ya kuonyesha una chochote cha kuanzia. ni moja ya documents ambazo zinahitajika mkuu, kwa yeyote mwenye kuguswa na hili naomba anisaidie, nitampatia hela ya vocha kidogo (50,000)
 
Inbox pls
 
Bank statement ya Bank gani waitaji?
 
Kwenye hiyo bank statement inahitajika ya mwezi gani na kiasi gani? Na itabid ufanye forgery pia kwenye hiyo bank statement utakayoipata...
 
No haiitaji forgery mkuu statement itakuwa kwa jina lako kama unavyopewa bank.sijui kama kuna uwezekano wa kufanya forgery
inahitajika si zaidi ya miez 6 nyuma. Iwe kati ya sasa mpaka miezi 6 nyuma
 
Hapo babu lazima ufoji. Me niliombaga uk, wananiambia bank isiwe na chini ya Mil 7 ili.niweze kupewa visa. Nilichemka
 
Asanteni sana wana JF, nimefanikiwa kupata bank statement kutoka kwa muungwana mmoja humu humu JF. Namshukuru sana na nawashukuru wote.
 
du baada ya hapo mnaanza kulalamikia ufisadi kumbe nanyi pia ni wale wale,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…