Naombeni msaada wa connection ya kazi kwenye Bomba la Mafuta

Naombeni msaada wa connection ya kazi kwenye Bomba la Mafuta

28October

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2020
Posts
285
Reaction score
363
Habarini ndugu zangu,

Naombeni connection ya kazi kwenye mradi mpya wa bomba la mafuta linalotoka Uganda kuja Tanga-Tanzania, elimu yangu ni Degree ya Information Technology ila kazi zozote zile nitafanya hata kama ni nje ya fani yangu. Mwenye connection naombeni anisaidie ndugu zangu nipo chini ya miguu yenu waungwana.

Naombeni sana na Mungu awabariki mnooo
 
Habarini ndugu zangu, naombeni connection ya kazi kwenye mradi mpya wa bomba la mafuta linalotoka Uganda kuja Tanga-Tanzania, elimu yangu ni Degree ya Information Technology ila kazi zozote zile ntafanya ata kama ni nje ya fani yangu, mwenye connection naombeni anisaidie ndugu zangu nipo chini ya miguu yenu waungwana naombeni sana na mungu awabariki mnooo

Utapata kazi subiri watangaze ila angalizo usifikiri ni kwasababu ni bomba la mafuta basi mshahara utakuwa mkubwa sahau! Waulize wenzako wa kwenye treni ya SGR
 
Utapata kazi subiri watangaze ila angalizo usifikiri ni kwasababu ni bomba la mafuta basi mshahara utakuwa mkubwa sahau! Waulize wenzako wa kwenye treni ya SGR
Naskia skia kama wameshatangaza mkuu ila nafasi zinatoka chuni kwa chini mkuu.
 
Hutaki kazi nyingine ni hyo tu unataka?
 
Back
Top Bottom