Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha utani mkuu yeye ni wakiume kwanini usimsaidie au kama hujui pita tu?Yawezekana una Mimba changa sugu
Naijisikia hali ya kichefuchefu pindi nikishamaliza kula chakula,nimeshatumia dawa mbali mbali za hospitali ikiwemo za minyoo lakini bado,.Mimi ni wakiume.Naombeni maoni.Hali hii inanitesa siwezi Fanya kazi.