Naombeni msaada wa haraka jamani, vinginevyo naumbuka

Vile ambavyo wamefungua lipia mkuu, vile ambavyo bado waambie warudishe. Isitoshe kama ni dada zako kweli huwezi kuwaonea aibu, utawapa makavu uwezo wako mfukoni ili waone mnafanyaje, maybe wao wako vizuri.
Jaman cha dada hapo hayo ni mangwafi tuu jamaa anatafuta utelezi, madada zako uwaonee aibu
?[emoji848][emoji848]
 
Nilikuwa na ela nilitoka nikachukua atm nikalipa maana niliona aibu kurudisha halafu kulikuwa na vibinti vinacheka vinanongonezana yani tulionekana kama tumeingia sehemu bila kujua gharama washamba flani
Mkuu samahani kwa kuuliza,kwanini ulitoka kuchukua hela ATM ndio ukalipa badala ya kulipa kwa kutumia hiyo hiyo kadi yako ya ATM?
 
Mkuu samahani kwa kuuliza,kwanini ulitoka kuchukua hela ATM ndio ukalipa badala ya kulipa kwa kutumia hiyo hiyo kadi yako ya ATM?
Ni miaka karibu tisa au kumi iliopita, hayo mambo ya kuchanja yalikuwa hayajazagaa bado na kadi za umoja zilikuwa zinachomoa pesa umoja switch ilibidi niende mpaka kwemye atm za umoja pale kwenye kituo cha mwalimu maana hata shoppers hazikuwepo.
 
[emoji23][emoji23]ni hatari

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Ni miaka karibu tisa au kumi iliopita, hayo mambo ya kuchanja yalikuwa hayajazagaa bado na kadi za umoja zilikuwa zinachomoa pesa umoja switch ilibidi niende mpaka kwemye atm za umoja pale kwenye kituo cha mwalimu maana hata shoppers hazikuwepo.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Umekamatwa. Hii story umetunga
 
Heri nusu shari kuliko shari kamili mkuu maana hapo hakuna namna. Mimi niliwahi kuwapeleka watu shoppers wakashop vitu almost vya laki sita ilikiwa aibu pale kaunta. Yani ilikuwa kituko haswaa
600,000!!!

Walikuws na ugomvi na wewe au walikuona pedeshee???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…