Naombeni msaada wa haraka jamani, vinginevyo naumbuka

600,000!!!

Walikuws na ugomvi na wewe au walikuona pedeshee???
Hawakujua kama itakuwa that much walikuwa wametoka huko mkoa na mimi nikawapeleka wasukume vitoroli. Si kwamba walikuwa washamba, ila walikotoka hakuna supermarket kama shoppers
 
Mimi huwa sioni aibu kuwambia watu bajeti yangu ni sh ngapi mfukoni Kwa wakati huo
Bora kuwa muwazi
 
Nimechelewa kuona huu Uzi..ningekushauri zile chupa ambazo hazijafunguliwa umuite mhudumu azirudishe na unaki na idadi ya chupa ambazo zitaendana na kiasi cha pesa ulichokuwa nacho.
Naamini chupa zote hizo hazikufunguliwa kwa wakati mmoja.
 
Sasa wao wangesema hawanywi kinywaji kingine zaidi ya savanna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…