Naombeni msaada wa haraka jamani, vinginevyo naumbuka

Mtafute aliyewahudumia na umuulize kama anajua wewe ndio boss na kwanini hajasikiliza order Yako,make it arise vinywaji vinginevyo katoa offer na asisumbuliwe yeyote[emoji848]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Ngumu
 
Mwaka 2011/2012 kulikuwa na kuchanja kwenye supermarkets. Umeona nimemwambia jamaa sikuzungumza njia nzima mpaka nafika tegeta kwasababu tulitoka tegeta kwenda shoppers opp na mayfair kwasababu kipindi hicho hakukuwa na supermarket hata kibo complex ilikuwa bado, shoppers ya mbezi ilikuwa bado otherwise tusingefunga safari from tegeta to huko. Hii inakuonyesha kwamba ni miaka kadhaa iliyopita
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kosa ni kwamba kama wewe ndio umemuita weita ila kama wameita wenyewe... getini unapita kifua mbelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…