Naombeni msaada wa haraka jamani, vinginevyo naumbuka

Naombeni msaada wa haraka jamani, vinginevyo naumbuka

Mtafute aliyewahudumia na umuulize kama anajua wewe ndio boss na kwanini hajasikiliza order Yako,make it arise vinywaji vinginevyo katoa offer na asisumbuliwe yeyote[emoji848]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Ngumu
 
Hapo ndio utajua Stori Ni ya Kutunga. Kiufupi huyo Nafaka inaonekana hajawahi kuingia Shopping Mall (Super Market). Kila Super Market kwenye Payment wana Option ya Scanning(Bar Code Payment),Card Swapping na Mobile Transaction au Bank Mobile. Aache kudanganya watu hapa. Yaani Stori Nyingi za hili Jukwaa la MMU Ni za Kutunga (FAKE NEWS Kwa mjibu wa Trump).
Mwaka 2011/2012 kulikuwa na kuchanja kwenye supermarkets. Umeona nimemwambia jamaa sikuzungumza njia nzima mpaka nafika tegeta kwasababu tulitoka tegeta kwenda shoppers opp na mayfair kwasababu kipindi hicho hakukuwa na supermarket hata kibo complex ilikuwa bado, shoppers ya mbezi ilikuwa bado otherwise tusingefunga safari from tegeta to huko. Hii inakuonyesha kwamba ni miaka kadhaa iliyopita
 
Jamani nipo hapa magomeni usalama kisuma bar nimekuja na Dada zangu wametoka mpwayungu dodoma nikawaambia waagize vinywaji mm naenda toilet.

Sasa chakushangaza nimetoka maliwato Ile nafika wote wawili wameagiza savanna nane yaani kila mtu nne nne. Nimepigwa na butwaa maana hivi vinywaji imported hapa kisuma ni 5000 namm nimekuja na hela ya eagle na pliziner tu vinginevyo hii ni kesi.

Sasa nimekuja haraka humu jukwani center of intelligence mnipe ushauri wa haraka vinginevyo tutaitwa vibaka hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom