Sharobaro la jf
JF-Expert Member
- Apr 23, 2020
- 237
- 325
Poleni na majukumu ya kujenga nchi wakuu, nije kwenye mada kuna mwanamke ninampenda sana ila sasa tumejenga urafiki mkubwa sana na yeye anaamini mimi ni rafiki yake sasa hapa ndio pananichanganya hata kumtongoza maana nawaza atanionaje.
Japo nampenda sana ila nimeshindwa kumwambia ya moyoni kutokana na mipaka yetu ya urafiki, huyu mwanamke tuna urafiki wa miezi2 sasa na tumekuwa tukisaidiana mambo mbalimbali.
Ndio maana naona hata haya kumtongoza, wakuu nipeni mbinu mimi kijana mwenzenu nataka kuuwa ufriendship ili nimtongoze, nifanyaje?