Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Nini hofu yako hasa? Tiririka kwa mtoto mzee baba...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
omba namba yake simu, mtumie sms ya salamu tu saa nane usiku. Siku ya pili mpigie saa nane usiku, akikuuliza mwambie hujalala kabisa ulikuwa unamuota yeye tu kwa miezi hiyo yote miwili. Pima majibu yake, yakiwa mazuri endelea. Yakiwa ya nyodo mwambie haya sawa, kaa kimya mpaka aanze mawasiliano yeye. utajilia mzigo kirahisiiii.Poleni na majukumu ya kujenga nchi wakuu, nije kwenye mada kuna mwanamke ninampenda sana ila sasa tumejenga urafiki mkubwa sana na yeye anaamini mimi ni rafiki yake sasa hapa ndio pananichanganya hata kumtongoza maana nawaza atanionaje.
Japo nampenda sana ila nimeshindwa kumwambia ya moyoni kutokana na mipaka yetu ya urafiki, huyu mwanamke tuna urafiki wa miezi2 sasa na tumekuwa tukisaidiana mambo mbalimbali.
Ndio maana naona hata haya kumtongoza, wakuu nipeni mbinu mimi kijana mwenzenu nataka kuuwa ufriendship ili nimtongoze, nifanyaje?