Naombeni msaada wa haraka kuhusu huyu mwanamke

omba namba yake simu, mtumie sms ya salamu tu saa nane usiku. Siku ya pili mpigie saa nane usiku, akikuuliza mwambie hujalala kabisa ulikuwa unamuota yeye tu kwa miezi hiyo yote miwili. Pima majibu yake, yakiwa mazuri endelea. Yakiwa ya nyodo mwambie haya sawa, kaa kimya mpaka aanze mawasiliano yeye. utajilia mzigo kirahisiiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…