Safi, ujumbe wako umenitia nguvu maana ndiyo hali ninayoipitia. Nikifa kila kitu kimeisha, atakayenizika simjuiNilishapotezana na ndugu katika simu tangu zamani na niko poa. Hii ni baada ya kugundua kuwa ni afadhali uishi kamanyama kuliko kujiconect na watu wasiokuheshimu.
Nilizaliwa mwenyewe, nitakufa mwenyewe, na nitazikwa mwenyewe.
Safi, ujumbe wako umenitia nguvu maana ndiyo hali ninayoipitia. Nikifa kila kitu kimeisha, atakayenizika simjui
Yeah, kama mtu anashida na wewe akupigie, kama unashida naye mpigie.Safi, ujumbe wako umenitia nguvu maana ndiyo hali ninayoipitia. Nikifa kila kitu kimeisha, atakayenizika simjui
Ukifika umri wa kuanzia 35 na kuendelea basi hayo mambo utaona ya kawaida tuKuna watu wangu wa karibu wananilaumu siwatafuti kuanzia mashemeji zangu mpaka na familia yangu wanasema siwapigii simu.
Mfano mashemeji zangu wengine Sina hata namba zao.
Shida hata nikiwapigia nitawaambia Nini yaani salamu TU basi?
Lakini Kuna watu wengine haipiti siku tatu nawapigia na ni wanaume wenzangu pia najisikia tu furaha kuliko hata ninapokuwa naongea na hao mashemeji?
Najisikia tu uvivu kuongea na baadhi ya ndugu ambao story zinaishia TU kwa salamu.
Je? Nifanyaje ili jisilaumiwe hivi? Nakuwa nakosa hata Raha muda mwingine nikiona simu zao.
Niko hivi piaBora wewe una kadhaa mie kwa kweli ni mvivu sana wa kupiga piga simu kutuma tuma msg, nikikucheki ni ishu ya maana
Mwanzo mke wangu ilimsumbua siku hizi kazoea, ni anapiga yeye kwa 97%
Mama yangu aliongea wee, nae kazoea siku hizi.. yeye ni mpigaji mkuu kwa 97%
Ndugu unafki mwingi sana + kusemana semana hovyo Tabia za kiswahili hayo mambo yamenishinda so nikaamua kujiweka kando nao kabisaNilishapotezana na ndugu katika simu tangu zamani na niko poa. Hii ni baada ya kugundua kuwa ni afadhali uishi kamanyama kuliko kujiconect na watu wasiokuheshimu.
Nilizaliwa mwenyewe, nitakufa mwenyewe, na nitazikwa mwenyewe.
Same 📌Mimi pia hii ninayo...kama hakuna ishu ya msingi sipigi simu inaweza pita ata mwaka mzima