Naombeni msaada wa hili la kutopigia ndugu simu

Ndugu miyeyusho wengi wachoraji, kwanza sipendi kupigiana simu bila issue za msingi mara nyingi ni umbea na mtu kukusimulia nyege zake..!!
 
Ukiondoa kaka,dada,mama,baba na babu wengine utawapigia kama na wao wanakupigia
 
Hii ya ndugu bado ile wangapi mmeacha kwenda nyumba zenu sa ibadan kusali
 
shemeji sio ndugu yako ukiachana na dada yao ndo ushemeji unafika mwisho
 
Jibu unalo,wewe wapigie simu ndugu na jamaa zako japo uwasalimu maana kuna siku utawahitaji
 
Ndio ukubwa huo, mwanaume upigepige simu ili iweje sasa tafuta tu ela mzee
 
Angalia ya muhimu mana kamwe huwezi kumfurahisha kila mtu amini nakwambia hata ukianza kuwapigia bado litakuja lingine tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…