M Msafiri Kasian JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 2,133 Reaction score 661 Jul 26, 2013 #1 Kuna dogo amepangwa huko na wanafungua Juma 3, ila mpaka sasa hajapata joining instructions. Naomba kama kuna mtu anawezakuipata anisaidie, au kama kuna mawasiliano yatakayoniwezesha kuipata mnisaidie. Asante.
Kuna dogo amepangwa huko na wanafungua Juma 3, ila mpaka sasa hajapata joining instructions. Naomba kama kuna mtu anawezakuipata anisaidie, au kama kuna mawasiliano yatakayoniwezesha kuipata mnisaidie. Asante.
M Msafiri Kasian JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 2,133 Reaction score 661 Jul 26, 2013 Thread starter #2 Wakuu hakuna hata m1 mwenye mawasiliano na mtu yeyote katika hyo shule? Hata kama kuna namba ya simu ya mtu yeyote pale mnisaidie.
Wakuu hakuna hata m1 mwenye mawasiliano na mtu yeyote katika hyo shule? Hata kama kuna namba ya simu ya mtu yeyote pale mnisaidie.