Naombeni msaada wa joining instructions ya Musoma Secondary (Advanced level)

Naombeni msaada wa joining instructions ya Musoma Secondary (Advanced level)

Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
2,133
Reaction score
661
Kuna dogo amepangwa huko na wanafungua Juma 3, ila mpaka sasa hajapata joining instructions.

Naomba kama kuna mtu anawezakuipata anisaidie, au kama kuna mawasiliano yatakayoniwezesha kuipata mnisaidie. Asante.
 
Wakuu hakuna hata m1 mwenye mawasiliano na mtu yeyote katika hyo shule? Hata kama kuna namba ya simu ya mtu yeyote pale mnisaidie.
 
Back
Top Bottom