Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama mtu ana TB na TB haijatibiwa atakonda na kufa ,unapaswa kutibu ugonjwa unaokusumbua ukimwi hauuwi kama inavyodaiwa ni magonjwa ndio yanauwaMimi naomba nikuulize swali hapa mkuu.
Wakati ukimwi unaingia TZ ulianzia Kagera. Wakati huo hakuna aliyekuwa na taarifa juu yake. Watu wakaunasa wakakonda wakaisha hadi wahaya wakauita slim kutoka neno la kingeereza kwa kuwa watu walikuwa wanakonda mtu hata akilala kitandani haonekani.
Lakini wakati huo hata ARV hazikuwepo, so watu hawakuwa wakitumia ARV lakini bado walikonda na wakafa. Kuna maeneo kama kiziba hadi nyumba zilifungwa unakuta mama, baba, mjomba wamekufa wote.
Sasa kitu gani kilifanya watu wapukutike wakati ARV hazikuwepo?
Na baada ya ARV kuwepo watu wakapungua kufa na wengine wakaishi na kufa wakiwa na miili yao.
Nina kaka yangu huu ni mwaka wa 17 anatumia ARV and yuko poa huwezi hata jua.
Nachotaka unieleweshe, ni kwanini kabla ya ARV ambayo umadai ni sumu bado watu walikuwa wanakonda na kufa vibaya sana.
Mind you siko hapa kukupinga ila nataka nipate elimu
Hiki unachozungumza hapa wala si kitu kipya ni kotu ambacho wataalam wanasema.siku zote na ndio hao hao wanashauri mwenye ukimwi atumie ARV ili kuhakilisha anathibiti hivyo virusi visiweze kufanya mwili wake uppteze kinga ya asili akapata hayoagonjwa.Sasa kama mtu ana TB na TB haijatibiwa atakonda na kufa ,unapaswa kutibu ugonjwa unaokusumbua ukimwi hauuwi kama inavyodaiwa ni magonjwa ndio yanauwa