Naombeni msaada wa kisheria na jinsi ya kuwasiliana na Ustawi wa Jamii ili nimsaidie ndugu yangu.

Mlonda

Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
35
Reaction score
2
Kuna wanandoa wametangana, sasa walifanikiwa kupata mtoto ambae ana umri wa miaka 2, chanzo cha wa kutengana kwao wanakijua wao ila mwanaume analalamika kuwa mke wake anampenda ila sasa hajatulia halafu anamdharau kwakuwa hana kipato.

Sasa mwanamke hampatii hata kidogo mwanaume nafasi ya kuwa na mtoto, ingawa anaelewa kwa sasa mtoto anatakiwa akae na mama yake, huyu mama amekuwa akimtumia mtoto kama njia ya kumkomoa mumeo na kuonyesha hasira zake.

Hapa sheria iko vipi? na huyu mwanaume afanye nini ili aweze angalau kupewa muda wa kumchukua mtoto na kukaanae angalau siku 2 au tatu, sababu jamaa hajaoa tena na anaishi na ndugu zake.

Naomba msaada wa kisheria na jinsi ya kuwasiliana na mwanasheria wa ustawi wa jamii ili nimsaidie jamaa awe salama na apate kinga kwa maisha yake juu ya mwanae kwa baadae.

Asanteni.
 
aende tu Ustawi wa jamii ya wilaya mtoto alikozaliwa akawaeleze tatizo lake,wao watamuita mwanamke na kujaribu kutafuta solution, ustawi is all for the welfare of the child, just because wametengana haimaanishi hatakiwi kumuona mtoto
 
Mwambie jamaa yako aache umbulula...mwambie aoe mke mwingine na azae nae tena. Ima kama jamaa hajiwezi kugegeda basi niPM ntakuelekeza wapi dawa inapatikana. Balaa hio ni masaa 2 hakuna kucheua...hatari.
 
Kuna wanandoa wametangana, sasa walifanikiwa kupata mtoto ambae ana umri wa miaka 2, chanzo cha wa kutengana kwao wanakijua wao ila mwanaume analalamika kuwa mke wake anampenda ila sasa hajatulia halafu anamdharau kwakuwa hana kipato.

Sasa mwanamke hampatii hata kidogo mwanaume nafasi ya kuwa na mtoto, ingawa anaelewa kwa sasa mtoto anatakiwa akae na mama yake, huyu mama amekuwa akimtumia mtoto kama njia ya kumkomoa mumeo na kuonyesha hasira zake.

Hapa sheria iko vipi? na huyu mwanaume afanye nini ili aweze angalau kupewa muda wa kumchukua mtoto na kukaanae angalau siku 2 au tatu, sababu jamaa hajaoa tena na anaishi na ndugu zake.

Naomba msaada wa kisheria na jinsi ya kuwasiliana na mwanasheria wa ustawi wa jamii ili nimsaidie jamaa awe salama na apate kinga kwa maisha yake juu ya mwanae kwa baadae.

Asanteni.
tafuta kitabu hiki kisome, kitakusaidia maswali yako hayo yote na mengine ambayo haujauliza. SHERIA KWA KISWAHILI

View attachment 110595

View attachment 110596View attachment 110596
 
Back
Top Bottom