Naombeni msaada wa kisheria

G45

Senior Member
Joined
Apr 21, 2016
Posts
163
Reaction score
94
Nawasalimu wakuu,Mimi ni mfanyakazi wa kampuni binafsi nimeomba likizo ya mwaka na kukubaliwa ila kuna jambo linanitatiza nqaombeni kufahamishwa, kile kiasi cha mshahara unachopewa cha mwezi mmoja je ni sehemu ya mshahara wangu wa huo mwezi nilio chukua hiyo likizo?
 
No, mwisho wa mwezi wanakutoa tena kama kawa.
 
Reactions: G45
Kuna watu hampo serious unafanya kazi lakini haujui stahili zako zikoje!
 
Malipo ya likizo ni tofauti na mshahara.
 
Reactions: G45
Haya ni matatizo ya kutokusoma mkataba wa ajira
Kweli kabisa, kuna watu wakipewa mkataba wanakimbilia tu kuangalia kiwango cha mshahara na makato, na mwisho wa mkataba..kwingine wanapitisha macho tu bila kuelewa pana umuhimu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…