G45
Senior Member
- Apr 21, 2016
- 163
- 94
Nawasalimu wakuu,Mimi ni mfanyakazi wa kampuni binafsi nimeomba likizo ya mwaka na kukubaliwa ila kuna jambo linanitatiza nqaombeni kufahamishwa, kile kiasi cha mshahara unachopewa cha mwezi mmoja je ni sehemu ya mshahara wangu wa huo mwezi nilio chukua hiyo likizo?