AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Nauliza tu...Unataka uhame nchi kjana....????
HII NCHI NI KERO...NATAMANI HATA INGEKUWA KAMA SIMU...UNAFLASH TU UNAANZA UPYA...ha ha haaa.. Kweli umechoka, mi mwenyewe nawaza kutoka, linchi linaboa sana hili, tupo pamoja mkuu ngoja watupe taratibu zake!
Hahahahah thubutuuuJilipue tu kwa faida ya vizazi vijavyo.
Eti eeh...?mkuu ni simpo sana,nenda Kenya sort demu bomba,piga mashine hadi akuzalie kisha funga nae ndoa,hapo tayari umepata uraia.
na wakenya wanavopenda waTz lol. .....mara moko tumkuu ni simpo sana,nenda Kenya sort demu bomba,piga mashine hadi akuzalie kisha funga nae ndoa,hapo tayari umepata uraia.
Hujaona nchi za maana!??hadi uombe uraia Kenya??Jamani bandugu...naombeni msaada wa kufahamishwa taratibu za kupata uraia wa Kenya ili niachane na uraia wa bongo...?
Jiunge na alshababuJamani bandugu...naombeni msaada wa kufahamishwa taratibu za kupata uraia wa Kenya ili niachane na uraia wa bongo...?
HILI LINCHI NATAMANI UTUPIE NYUKLIA TUIFLASH TUANZE UPYA...Hehehe pambana huko huko, paka grisi kwenye vyuma kitaeleweka tu, huwa naskia mkiambiwa mpo kwenye raiti traki.
Japo Kenya huwa imefungua mipaka yake kwa wana EAC, kuna Watanzania wengi wanaishi Kenya na kupiga mishe bila matatizo ila kwa utawala wenu wa sasa umelea visasi na bifu sana na kuchokoza Wakenya too much na inawezekana wakiendelea hivi Watanzania waliopo Kenya watapata tabu siku za usoni, labda aje mtawala mwengine kwenu atakayejaribu kuosha chuki zote ambazo zimefukiwa kwa sasa.
Kikwete alikua anachokonoa Wakenya ila anapuliza na kutukuna, lakini utawala wa sasa duh full majungu na chuki, halafu naskia huko kwenu upinzani umeisha, kila uchao mnafanya chaguzi za wabunge wanaohama aidha kwa kununuliwa au kuchumia tumbo.