Naombeni msaada wa kufahamishwa taratibu za kupata uraia wa Kenya

Before kubadili uraia jiulize mara kumi kumi... pia unawakana wazazi wako kisa Kenya hahha khaa nchi hiyo ya jirani. Badala utafute nchi ya maana unataka kuwa mkenya khaaa!! Pia heri utafute fursa tu kenya na sio kuwa mkenya ndugu yangu.. ukitaka ishi bila maawazo Tanzania wewe dili na issue zako usimwaze kiongozi yoyote au uongozi unaokuzunguka... lol yaan navyopenda utanzania wangu mie.. naenda kenya kupiga deals tu na sina wazo la kuwa mkenya nimeacha nchi kibao za maana huko leo mtu aje nisikia mm ni mkenya atanishangaa sana sio siri. Ila ni wewe but
NB: ,fikiri kabla hujachukua hatua.
UNAWEZA ISHI LIFE LAKO...LAKINI UCHUMI WA NCHI NA MFUMO MZURI WA MAISHA UNAVURUGWA NA UONGOZI ULIOPO MADARAKANI...
 
Mbona mm nafanya business ya kenya na issue zinaenda sana tu.. mm ni mwanamke na napambana na kenya kutengeneza maisha yangu..... nikija bongo ni kupumzik tu ila business nafanyia kenya... tangu nirudi kutoka ughaibuni niliona nikiwekexa Tanzania nitakuwa nilienda ulaya buuureeee. Kwa sasa napiga deal za huko tu. Na nataka niende mbele na nchi zingine nione namna ya kupanua biashara zangu.
 
Vizuri...sana...
 
Back
Top Bottom