Naombeni msaada wa kufahamishwa taratibu za kupata uraia wa Kenya

UNAWEZA ISHI LIFE LAKO...LAKINI UCHUMI WA NCHI NA MFUMO MZURI WA MAISHA UNAVURUGWA NA UONGOZI ULIOPO MADARAKANI...
 
UNAWEZA ISHI LIFE LAKO...LAKINI UCHUMI WA NCHI NA MFUMO MZURI WA MAISHA UNAVURUGWA NA UONGOZI ULIOPO MADARAKANI...
Mbona mm nafanya business ya kenya na issue zinaenda sana tu.. mm ni mwanamke na napambana na kenya kutengeneza maisha yangu..... nikija bongo ni kupumzik tu ila business nafanyia kenya... tangu nirudi kutoka ughaibuni niliona nikiwekexa Tanzania nitakuwa nilienda ulaya buuureeee. Kwa sasa napiga deal za huko tu. Na nataka niende mbele na nchi zingine nione namna ya kupanua biashara zangu.
 
Vizuri...sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…