BABA BOMBASTIC
Senior Member
- Jul 10, 2024
- 146
- 246
Nina kusudi la kuenda kilosa kutafuta maisha,naombeni msaada wa wapi pakuanzia.
Kodi ya chumba ni bei ghani kule??
Watu wanaopatikana huko ni wanaroho nzuri au hawataki wageni??
Utafutaji wa kule ni wa aina gani'je biashara na kilimo zinalipa kwa huko??
Nina mpango wa kwenda kuishi mvumi kilosa je uchaguzi wangu ni mnzuri au nimekurupuka?
KWA SASA nipo Dar maisha ya huku yamenichosha'nahitaji nibadilishe mazingira'ni fanye vitu tofauti ,maisha ya dar yamenifundisha mengi ni kama nilikuwa darasani nimeishi Dar kwa miaka 7 sasa nataka niende nikatumie elimu yangu morogoro.
Naombeni ABC zote za kilosa ndugu zangu.