BABA BOMBASTIC
Senior Member
- Jul 10, 2024
- 146
- 246
Tofautisha sumu na utafutaji,sisi sote tumeumbiwa hii dunia kuzunguka na kutafuta mkate mahali popote hapa duniani'mbona kuna wanaigeria wapo China wanatafuta maisha??riziki ya mbwa ipo miguuni mwakeSumu haijaribiwi kwa kuionja, ukishindwa Dar ambako unaweza kuishi hata kwa upambe mikoani lazima uwe na channel na network ya uhakika.
Tawire baba.Tofautisha sumu na utafutaji,sisi sote tumeumbiwa hii dunia kuzunguka na kutafuta mkate mahali popote hapa duniani'mbona kuna wanaigeria wapo China wanatafuta maisha??riziki ya mbwa ipo miguuni mwake