Bigmaaan JF-Expert Member Joined Nov 25, 2023 Posts 306 Reaction score 699 Feb 16, 2024 #1 Habarini wadau. Nimejaribu sana kutafuta mtandaoni namna ya kuyapata, ila sijapata uelekeo. Kwa mwenye kujua namna naweza kuyapata anisaidie. Ninahitaji kiasi kama lita moja tu, kwa matumizi binafsi na si biashara. Asanteni.
Habarini wadau. Nimejaribu sana kutafuta mtandaoni namna ya kuyapata, ila sijapata uelekeo. Kwa mwenye kujua namna naweza kuyapata anisaidie. Ninahitaji kiasi kama lita moja tu, kwa matumizi binafsi na si biashara. Asanteni.
T The_bushman Senior Member Joined Jun 29, 2018 Posts 114 Reaction score 107 Feb 16, 2024 #2 Kama upo Dodoma yapo ambayo yako kwenye package ya 200ml kwa ajili ya kupaka kwenye ngozi.
Bigmaaan JF-Expert Member Joined Nov 25, 2023 Posts 306 Reaction score 699 Feb 16, 2024 Thread starter #3 The_bushman said: Kama upo Dodoma yapo ambayo yako kwenye package ya 200ml kwa ajili ya kupaka kwenye ngozi. Click to expand... Ok. Maana yake haya huwezi tumia kwa kunywa [external use only].?
The_bushman said: Kama upo Dodoma yapo ambayo yako kwenye package ya 200ml kwa ajili ya kupaka kwenye ngozi. Click to expand... Ok. Maana yake haya huwezi tumia kwa kunywa [external use only].?
Mkweche II JF-Expert Member Joined Aug 11, 2018 Posts 4,160 Reaction score 5,793 Feb 16, 2024 #4 Nasoma comments
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Feb 17, 2024 #5 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw
Joannah JF-Expert Member Joined May 8, 2020 Posts 20,921 Reaction score 49,014 Feb 17, 2024 #6 Viwanda vilifungwa Kwa kuwa serikali iligundua Yana aflatoxin nyingi sana inayosababisha cancer...labda local made
Viwanda vilifungwa Kwa kuwa serikali iligundua Yana aflatoxin nyingi sana inayosababisha cancer...labda local made