Naombeni msaada wa kupata mafuta ya ubuyu

Naombeni msaada wa kupata mafuta ya ubuyu

Bigmaaan

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2023
Posts
306
Reaction score
699
Habarini wadau.

Nimejaribu sana kutafuta mtandaoni namna ya kuyapata, ila sijapata uelekeo. Kwa mwenye kujua namna naweza kuyapata anisaidie.

Ninahitaji kiasi kama lita moja tu, kwa matumizi binafsi na si biashara.

Asanteni.
 
Viwanda vilifungwa Kwa kuwa serikali iligundua Yana aflatoxin nyingi sana inayosababisha cancer...labda local made
 
Back
Top Bottom